July 23, 2008

Buriani Thomas Marijani Kizigha

Mwandishi Mwandamizi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN) wachapishaji wa gazeti la daily News na HabariLeo, Charles Kizigha, akiwa amebeba msalaba baada ya Ibada maalum ya kumuombea Marehemu Baba yake mzazi, Thomas Kizigha (89) aliyefariki Julai 21 na anatarajiwa kuzikwa wiki hii nyumbani kwao Usangi mkoani Kilimanjaro. Ibada hiyo, ilifanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Azania Front jijini kabla ya kusafirishwa.

No comments:

Post a Comment