July 22, 2008

Mnyama Simba anapomtafuna adu APR

Timu ya Soka ya Simba yenye maskani yake katika vichaka vya Mtaa wa Msimbazi Kariakoo jijini Dar es Salaam leo imemtafuna bila huruma APR ya Rwanda na sasa yaisubiri nusu fainali ya Kagame. YANGA MPOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
Kikosi cha Kwanza cha timu ya Simba kulicho uvua uteja dhidi ya timu ya APR ya Rwanda katika robo fainali ya pili ya michuano ya kuwania kombe la Kagame jana jijini Dar es Salaam. Simba ilishinda 2-0.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 22, 2008

    mnyama noma sana, yaani kamtafuna mmwenzake hivi hivi!! du, hiyo kali sana!!!

    ReplyDelete