July 22, 2008

Nani kutwaa taji la Vidacom Miss Tanzania 2008

Warembo wanao wani ataji la Vodacom Miss tanzania 2008 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao mjini Bagamoyo, Pwani.
Sylvia Mashuda kutoka Kanda ya Ilala
Annete John kutoka Kanda ya Ilala
Lilian Shayo kutoka Kanda ya Temeke
Beatrice Dengenesa kutoka kanda ya Nyanda za juu kusini
Tahya Badru kutoka Nyanda za Juu Kusini
Doris Godfrey kutoka Kanda ya Ziwa-Kagera
Florence Josephat kutoka Kanda ya Temeke


Joan Faith John kanda ya Kinonondoni
Tusekile Mwakibinga Miss Tanzania London
Johari Abubakar kutoka Vyuo Vikuu
Mariam Hajibu kutoka Kanda ya Kaskazini-Tanga
Nadya Ahmed kutoka kanda ya Kaskazini-Tanga

Rona Swai Kanda ya Temeke
Irine Salala Kanda ya Kati-Dodoma
Linda Kaaya Kanda ya Kati-Singida
Amata Crispian Kanda ya Kinondoni

Elizabeth Gupta (kulia) na Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza
Nelly Kamwelu-Kanda ya Ilala
Blanca Mkude Kutoka Kanda ya Mashariki-Morogoro.
Regina Julius kutoka Kanda ya Ziwa-Shinyanga
Gloria Masangwa kutoka kanda ya Kaskazini - Arusha.
Mimi nimemaliza kazi kwenu wadau kutoa maoni yako hapo chini juu ya nani unadhani anaweza kutwaa taji hilo mwaka huu.

15 comments:

  1. AnonymousJuly 22, 2008

    Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza
    from Hak

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2008

    yes man,hao wawil mmoja wapo kwa mtazamo wangu ndiyo afadhali ashinde, ni huyo wa Ilala na arusha kaskazini, wa arusha anaweza kupigwa bao na wa ilala sababu mwenzie mrefu kidogo, lakini ni mtazamo wangu tokana na picha.

    kijiwe

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2008

    Asante Mkubwa. We ndo Mtu bwana.

    Sasa lete wakiwa katika Beach Wear

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2008

    Naomba uwapige wote 28 acha kuwabania wengine

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2008

    sasa inamaana yule wa EU hakuja? naona wa UK tu je USA hawakuchagua.
    Kama hawajaja waambie waandaaji wasitubip

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2008

    Mkude atashinda.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 23, 2008

    I am totally confused about beauty and half-naked?????

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 23, 2008

    Fey yuko wapi???

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 23, 2008

    Jamani mi naona kama hao ma miss Temeke wanapendelewa na akishinda mmoja wapo ntaamini kwamaba kuna upedeleo. Ni wazuri ndiyo lakini kila comment kwenye magazeti wana nukuu kutoka kwa Miss Temeke. Kwani wengine hawapo?

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 23, 2008

    Number 10 lazima achukue. Mtoto mzuri mashalla.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 23, 2008

    BREAKING NEWS!!!!!!!

    MIchuzi apigwa marufuku kutangaza Castle Kagame CUp tena na watu wa Serengeti, haha! Unajifanya mjanja unachula pesa sehemu zote mbili halafu unaweka matangazo mahali pamoja watu wamemla kichwa, Misupu acha bana kuweka wapinzani mahali pamoja bana...Kama Blog hii inazaminiwa na Tigo pia sasa ukiweva Vodacom hapo jamaa hawakupi tena hako kahela kao japo ni ka ngama lakini kanakutoa hata T-shirt huwezi kununua, unakula makange ya bure tu pale break point hulipi basi ndo utatuwekea matangazo we mpaka tukome...sasa na watu hao wa TEMAF nao waweke hapo halafu watakupa offer ya kijana wako mmoja wa ulaya akae bure kwao haha!!!!!!!!

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 23, 2008

    for realy miss uk kiboko jamani!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 23, 2008

    kweli hata wazee wa ngwasuma waliimba wazuri niwengi lakini nimekuchagua wewe basi na mie nimemchagua miss uk.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 23, 2008

    kwakweli tusekile zaidi jamani!!

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 24, 2008

    mwana katika wote hao nilio waona walio katika chance ya kushinda ni miss wa kanda ya ilala na kinondoni mazee

    ReplyDelete