July 07, 2008

Samaki Feri

Mchuuzi wa samaki katika soko la samaki Feri jijini Dar es Salaam akichmbua samaki kabla ya kuwauza sokoni hapo jana. Juzi Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi John Magufuli alikemea wavuvi wanaovua samaki wadogo kinyume cha sheria.

No comments:

Post a Comment