July 07, 2008

'Ndege ya Obama yashindwa kutua'

Habari zilizoifikia Blog hii hivi punde zinasema kuwa Ndege ya Mgombea Urais wa Marekani kupitia tiketi ya Democratic barack Obama inashindwa kutua kutokana na hitilafu za kiufundi.

No comments:

Post a Comment