July 07, 2008

Miss TMK 2008 ni Angela

Miss Temeke 2008, Angela Luballa (katikati) katika picha ya pamoja na mshindi wa pili Rona Swai (wapili kulia) na mshindi wa tatu, Florence Josephat wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kutangazwa kuwa washindi. Washiriki wa shindano miss Temeke 2008, kutoka kushoto ni, Rona Swai, Frolance Josephat, Miss Temeke 2008, Angela Luballa, Caroline Joseph na Lilian Shayo baada ya kutangazwa kuingia katika nafasi ya tano bora.

No comments:

Post a Comment