Mkuu wa Wilaya ya Kilindi mkoani tanga, sara Dumba (kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani y ash milioni 5 kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kaskazini, Hillal Sood (wapili kulia) Kuli ni Meneja wa NMB tawi la Handeni Hamidu Mughamba na wapili kushoto ni Meneja Uhusiano wa NMB, Shy-Rose Bhanji. Fedha hizo ni kwaajili ya ujenzi wa shule ya Sekondari ya Mafisa na zilikabidhiwa janaWilayani humo.(
No comments:
Post a Comment