July 20, 2008

Salama Jabir katika soka

Mtangazaji wa Televisheni Salama Jabir (mwenye miwani na T-Shert nyekundu) akifuatilia mtanange wa Simba na Vitalo O ya Burundi jijini Dar es Salaam.

3 comments:

  1. AnonymousJuly 21, 2008

    Usibishane na huyu dada utashindwa tu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2008

    haya naona john utaka unawakilisha (SS MAKUWE) hapo kwenye mpira wapi shukry na said wape HI!

    ReplyDelete
  3. huyu dada yuko bomba ila naona mngetoa picha kubwa zaidi yake peke!

    ReplyDelete