July 20, 2008

Miss Tz warejea kutoka Kanda ya Ziwa


Baadhi ya washiriki wa shindano la Vodacom Miss Tanzania 2008, wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere, Dar es Salaam jana, wakitokea katika mikoa ya Kanda ya Ziwa walikokuwa katika ziara yao ya wiki moja. Katika ziara yao pia walitembelea kaburi la Baba wa Taifa na kutoa misaada Hospitali ya Sekotoure ya mjini Mwanza.
Warembo wa Miss tanzania wakiwa katika picha ya pamoja uwanja wa ndege wa JK Nyerere.

2 comments:

  1. AnonymousJuly 21, 2008

    Makubwa walipelekwa na ndege! Mmh! kweli kazi ipo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2008

    Je! Nilazima miss aoneshe mapaja?

    ReplyDelete