July 08, 2008

Mtikila amtemea cheche Rostam Aziz

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Wakristo Tanzania, Mchungaji. Christopher Mtikila (kushoto) akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam jana juu ya tukio la hivi karibuni la Mbunge, Rostam Aziz kuzungumzia tuhuma zake za ufisadi akiwa Kanisani.

2 comments:

  1. AnonymousJuly 08, 2008

    mtikila sasa kafilisika kisera kichwani,mpaka anafikia hatua ya kutoka kupitia mgongo wa rostam!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2008

    No wala mtikila hana makosani yuko sahihi kabisa Rostam amewamanipulate waumini wenye njaa nakutumia vibaya jukwaa la dini kwa ajili hiyo. Hata aho viongozi wa kanisa la KKKT kinondoni wamechemsha kukubali ufadhili huo. Ni umaskini ndio unaotuponza na Fisadi kama Rostam anajua wapi kwa kutupatia tumekwisha. Ninge mkuu wa KKKT ninge mwajibisha Mchungaji wa kanisa hili

    ReplyDelete