July 22, 2008

Watoto wakitoka shule


2 comments:

  1. AnonymousJuly 22, 2008

    TEMAF INAKUJA CHANGAMKAA!!
    Deal kwa wadau wote wa ulaya wakirudi Tanzania wale vijana wote mliopo huko UK na Nchi nyingine za Ulaya mnaobeba maboksi na kufua nguo, kuna mfuko wetu unaanzishwa hapa Bongo kwa ajili ya kuwasaidia mnaporudi na kukosa kazi au makazi na kushia kuwabana ndugu na jamaa zako au kuishia kuwa ombaomba mpaka watu wanakuchoka na kukukimbia, sisi utakaa kwetu kwenye apartment zetu na kusaidiwa kutafuta kazi, mpaka uipate then utalipa taratibu kwa riba, mfuko utaitwa 'Tanzanian European Migrants Aid Fund' (TEMAF),

    Ni Hayo tu,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2008

    Sasa huyu jamaa ni nani?

    ReplyDelete