July 03, 2008

Nakaaya Sumari jukwaani

Msanii Nakaaya Sumari, akiimba katika moja ya matamasha ya burudani jijini Dar es Salaam.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 03, 2008

    Pole sana kwa kazi mzee mwenzangu. Uongozi wa www.viongozitz.friendhood.net unapenda kutangaza kwamba tuna web mpya ambayo ni hiyo hapo juu.(Ni ya watanzania wote ambao wanaweza kwenda kuchangia ama kutoa mada au pia vile vile kusoma tu) Naomba msaada wako uweze kutubandikia hii kwenye blog yako. Asante.

    ReplyDelete