July 03, 2008

Miss Kanda ya Mashariki

Warembo watakaochuana kuwania taji la Miss Kanda ya Mashariki mjini Morogoro wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao mjini hapa.
Shindano hilo litafanyika Vijana Social Hall Julai 4 2008.

1 comment:

  1. very good blog, congratulations
    regard from Reus Catalonia Spain
    thank you

    ReplyDelete