July 02, 2008

Hali ya Mwanawasa ni tata


Kunataarifa anbazo sio rasmi kuwa Rais wa Zambia Dk. Levi Mwanawasa amefariki dunia
. Blog hii bado inaendelea na kufuatilia suala hili na itawapasha haraka juuu ya ukweli wa jambo hilo. Mungu ambariki.

No comments:

Post a Comment