Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa DK. Asha-Rose Migiro akiwa na mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Tanzania TBC1 Elisha Elia Mwakagali (kushoto) na Afisa wa Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Maura Mwingira (kulia) baada ya mkutano wa baraza la Umoja wa Mataifa linaloshughulika masuala ya Uchumi na Jamii Jijini NEW YORK nchini MAREKANI hivi karibuni.
July 14, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mama unazidi kupendeza. Hongera mama huwa nakupenda sana upo so cool!! Kila la kheri
ReplyDelete