July 06, 2008

Mwintanga mikoni mwa polisi

Rais wa shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (TBF) Alhaj Shaaban Mwintanga anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini katika kituo cha barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam kwa mahojiano akihusishwa na sakata la kukamatwa mabondia wa timu ya taifa nchini Mauritius katikati ya Juni mwaka huu wakiwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine yenye thamani ya mamilioni ya shilingi. Alhaji Mwintanga alitiwa mbaroni juzi.

2 comments:

  1. AnonymousJuly 06, 2008

    ALHAJI tena na MADAWAya kulevya!
    Khaa!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2008

    sio kitu cha ajabu huyo alhaji kuhusika na madawa,inaonyesha kweli hiyo dili anaijua vizuri,sio kama wanamsingizia.yeye yupo na jopo la wenziwe huyo..sasa mambo yameibuka kila mtu anakwepa hapo..customs,polisi pia wapo katika mkakati huo ni ukweli huo,noma wabongo mnaliabisha taifa letu.yaani wauza madawa wengi wanaokamtwa nje ni wabongo wapo majela.italy,grece,holland,peru,south africa,brazili,iran,pakistan,china,india...pote ulimwenguni wabongo wametapakaa kwa kesi ya kuuza madawa ya kulevya...nonsense,
    mkarimu mkereketwa

    ReplyDelete