July 05, 2008

Miss Kanda ya Mashariki huyu hapa

Miss Kanda ya Mashariki ambaye pia ni Miss Pwani 2008 ,Flora Mvungi (20), akipozi kwa picha baada ya kuwashinda wenzake 12 katika kinyang’anyiro lilichofanyika Usiku wa kuamkia Julai 5 katika ukumbi wa Vijana wa Mjini mjini Morogoro.

No comments:

Post a Comment