Mkazi wa jijini Dar es Salaam anayejishughulisha na uuzaji wa Dawa za asili akimlisha chungwa mtoto wake kama alivyokutwa katika eneo lake la biashara kandokando ya barabara ya Bibi Titi jijini jana. Akina baba nao huwa na jukumu la kutunza watoto pindi mama awapo na majukumu mengine.
No comments:
Post a Comment