July 20, 2008

Mgambo wa Jiji

Mgambo wa Manispaa ya Ilala akiwa amebeba ungo wa njegere aliouchukua kutoka kwa mfanya biashara mdogo aliyekuwa akiuza mboga mboga hiyo nje ya soko la Kariakoo jana.

No comments:

Post a Comment