KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 13, 2008
Mimi sio Fisadi: Rostam
Mbunge wa Igunga, Rostam Azizi, akiwasi waandishi wa habari kuelewa sakata linaloendelea sasa juu ya kasha zake za ufisadi wakati alipozungumza nao jana jijini Dar es Salaam jana.
Hata mimi nakubaliana na Rostam yeye sio fisadi hata kidogo. Kwanza hao jamaa wamerudisha hizo 5ml najua Rostam hazihitaji ila kama wanaona hazina upako warudishe.
It's not a secret that the church in general, religion is being peddled for a money ........... Hypocrisy and materialism rule. Shameful.
ReplyDeleteHata mimi nakubaliana na Rostam yeye sio fisadi hata kidogo. Kwanza hao jamaa wamerudisha hizo 5ml najua Rostam hazihitaji ila kama wanaona hazina upako warudishe.
ReplyDeleteRostam mtoto wa town
ReplyDelete