Wachezaji wa timu ya vijana ya U-17 wakiwasili jana katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere jijini Dar es Salaam jana wakitokea nchini Brazili ambako walishiriki na kutwaa kombe la michuano ya kimataifa ya Copa Coca Cola. Aliyeshika Kombe ni Nahodha wa timu hiyo, Himid Mao.
Inasikitisha sna yaani pamoja na ushujaa huo TFF kimya! hawana maslahi nini? Na hao wapelekwe bungeni basi kupewa hongera kwani ndo mwanzo
ReplyDelete