July 13, 2008

Vodacom yazidi kumwaga mapesa

Meneja Matukio na Promosheni wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom, Rukia Mtingwa akizungumza kwa simu na mmoja katika ya washindi saba wa droo ya wiki ya 14 ya promosheni ya Tuzo Points jijini Dar es Salaam jana. Kila mmoja alijishindia pesa taslimu shs milioni moja. Kushoto ni Meneja Udhamini Msaidizi wa Vodacom, Ibrahim Kaude.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    wananiuzi mimi hao kutoa pesa nyingi kwa mtu mmoja basi tu

    ReplyDelete