July 18, 2008

JK mkoni Tanga

Rais Jakaya Kikwete, akiongea na wakazi wa wilaya ya Lushoto muda mfupi baada ya kufungua jengo jipya la huduma ya nje katika Hospitali ya Wilaya ya Lushoto. Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani.

No comments:

Post a Comment