Nafasi Ya Matangazo

July 04, 2008

Warembo watakaoshiriki tamasha la kuosha magari ili kuchangia mfuko wa ‘Sickle Cell Tanzania’, kutoka kushoto ni Olivia Mkanzabi, Nargis Mohamed, Jennifer John, Jokate Mwegelo na Jacqueline Ntuyabaliwe, wakitoka katika ofisi za Makao Makuu ya tigo tanzania ambao ni wadhamini wa tamasha hilo, linaliotarajiwa kufanyika kwenye viwanja vya Leaders club mwishoni mwa wiki hii.
Posted by MROKI On Friday, July 04, 2008 2 comments

2 comments:

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    Wataosha na VIBITO kaka Mrocky?
    Mi nitakuja na KIBITO changu siku hiyo na namtaka huyo mwenye BLAUZ NYEUSI ndo anioshee KIBITO changu,
    tena avae kisketi hicho hicho na nitalipa Tzs.40,000/- wala sio 20,000/-. Potelea mbali.
    Anaitwa nani huyo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2008

    Mkware, huyo ni JJ mke wa Kinjekitile Ngombare Mwillu

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo