KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 14, 2008
Madawani wa Dar es Salaam
Madiwani wa jiji la Dar es Salaam Hassan Zungu wa Ilala (kushoto) na Abbas Mtemvu wakifuatilia mjada wa kikao cha Baraza la Madiwani wa jiji.
utafugwa hao ni wabunge kwenye kikao cha madiwani rekebisha usemi
ReplyDeletePorojo nyingi hakuna kitu jiji mahandaki tu yamejaa. waswahili bwana
ReplyDelete