July 18, 2008

Mh hii action kali

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika katika hafla ya kuwapongeza wachezaji wa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 aliyoiandaa kwenye makazi yake mjini Dodoma Julai 17, 2008.

No comments:

Post a Comment