KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 10, 2008
Serengeti yachangia tamasha la Majahazi 2008 (ZIFF)
Meneja Uhsuriano na Mawasiliano wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti, Teddy Mapunda, akikabidhi hundi ya shilingi Milioni 5, kwa Mratibu wa Tamasha la 11 la Filamu la kimataifa la Nchi za Majahazi 2008 (ZIFF) linalotarajiwa kuanza kesho mjini Zanzibar.
Hapo Zanzibar wamekubali ufadhili wa bia mbona soka wanakataa. Wanafiki
ReplyDelete