Nafasi Ya Matangazo

July 08, 2008

Fundi mitambo wa Shirika la Utangazaji TBC1 Ali Kagomba, akiwaelekeza mabinti Zuwena Kiyungi (kushoto) na Esta Chidololo, ambao ni wahitimu wa kidato cha sita katika shule ya Sekondari ya Progressive ya Kampala nchini Uganda. Mabinti hao walifika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma hivi karibuni kujionea shughuli za Bunge zinavyoendeshwa.Wengine pichani ni waandaaji wa vipindi Godfrey Nago na Chacha Maginga(kulia).
Posted by MROKI On Tuesday, July 08, 2008 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJuly 10, 2008

    What was special kuweka picha ya hao mabinti wakati picha mbaya, mabinti wenyewe 2 tu na wala sio kikundi. giza torororo sasa nini hasa lengo la hii picha Kidevu?

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo