June 23, 2008

Pinda asoma bajeti ya Wizara yake

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipongezwa na wabunge baada ya kusoma bajeti ya Ofisi yake kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma Juni, 23, 2008.

1 comment:

  1. AnonymousJune 27, 2008

    Hongera sana bwana Kidevu. Nafurahi sana kusoma na kuona mapicha babu kubwa.Nitakuwa mwanachama wako, hongera kwa kazi.
    Angalia pia kwangu labda kuna mambo utayafurahia.

    ReplyDelete