Kimox auaga ukapera
Mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspapers Ltd (TSN) Shaaban Kimokole, akiwa na na mkewe, Mwamvua Ally Juma, katika shehere ya harusi iliyofungwa Pugu Kajiungeni na sherehe kufanyika kwenye ukumbi wa Kilimanjaro Sinza jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Bi Harusi ni mfanyakazi katika kampuni ya Norconsult Limited ‘Unity Bridge’ ya jijini.
No comments:
Post a Comment