June 12, 2008

Mkulo kuwafurahisha au kuwaliza walalahoi leo

Waziri wa Fedha Mustapha Mkulo leo anakazi ngumu ya kusoma bajeti ya serikali ya mwaka 2008/2009 katika kikao cha tatu cha Bunge katika Mkutano wa 12 unaondelea mjini Dodoma. Je Bajeti hiyo itamlinda mlalahoi?.

No comments:

Post a Comment