June 12, 2008

Endelea kupambana ndugu yangu

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF, Prof Ibrahim Lipumba akisalimiana na Mbunge wa Monduli na Wziri Mkuu wa Zamani Edward Lowasa walipokutana nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana.

No comments:

Post a Comment