Nafasi Ya Matangazo

March 26, 2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024.(Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (hayupo pichani ) baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar Maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi msaada wa futari Mwananchi Mtopope Hakim Mohammed Hassan, baada ya kumalizika kwa hafla ua Iftaar maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ua Iftaar maalum aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2024.
WANANCHI  wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  katika Iftaar maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi , katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakal Kikwajuni  Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Tende Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi, wakati wa hafla ya Iftaar maalum kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024.
WANANCHI  wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  katika Iftaar maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi , katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakal Kikwajuni  Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024.
WANANCHI  wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  wakijumuika na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi  katika Iftaar maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi , katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakal Kikwajuni  Wilaya ya Mjini Unguja jana 25-3-2024.

Posted by MROKI On Tuesday, March 26, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo