Nafasi Ya Matangazo

March 16, 2024



Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 16 Machi, 2024 anashiriki katika ibada Maalum ya Uwekaji wa jiwe la Msingi la jengo la Ofisi za Makao Makuu  Africa Inland  Church  Tanzania (AICT) inayofanyika jijini Mwanza.

Ibada hiyo inahudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali na viongozi wa dini Kanisa la AICT.
Posted by MROKI On Saturday, March 16, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo