Nafasi Ya Matangazo

March 16, 2024











Bonanza la michezo la Tume ya Madini linaendelea katika viwanja vya Shule ya Sekondari ya John Merlin jijini Dodoma ambapo michezo mbalimbali inaendelea ikiwa ni pamoja na riadha, kuvuta kamba, mpira wa miguu, kukimbiza kuku n.k

Mazoezi ya awali yameongozwa na Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Profesa Idris Kikula na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Eng. Yahya Samamba.





Posted by MROKI On Saturday, March 16, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo