Nafasi Ya Matangazo

March 17, 2023

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amekutana na Wakuu wa Taasisi na Idara ya Ofisi ya Waziri Mkuu katika kikao cha kupitia utekelezaji wa Mpango wa bajeti ya mwaka 2023/2024.

Kikao hicho cha Mapitio ya utekelezaji wa Mpango wa bajeti kimefanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, anayeshughulika Sera Bunge na Uratibu akiongoza kikao cha kupitia utekelezaji wa mpango wa bajeti ya Mwaka 2023/2024.


Wakuu wa Taasisi na Idara ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakifuatilia kikao cha kupitia utekelezaji wa Mpango wa bajeti ya Mwaka 2023/2024.



Posted by MROKI On Friday, March 17, 2023 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo