Nafasi Ya Matangazo

January 17, 2022

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhwani Kikwete leo ametembelea Ofisi za Wizara_ya_ardhi Dar Es Salaam, na kukagua Mfumo wa Unganishi wa Taarifa za Ardhi (ILMIS), ikiwa ni moja ya ziara zake za kujifunza mambo mbalimbali ya Wizara. 




Aidha alitumia fursa hiyo kutoa wito kwa wananchi kuchukua hati zao zilizokamilika kwa wakati.
Posted by MROKI On Monday, January 17, 2022 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo