Nafasi Ya Matangazo

January 20, 2018

Msanii wa Maigizo Yvone Sherry (Monalisa)Akiongea na Wanafunzi wa Shangani Sekondari mkoani Mtwara pamoja kusimamia Igizo La Elim ya Jinsia kwa njia ya Maigizo.
 Viongozi wa Kituo cha Sports Development Aid (SDA) ambao ndio waandaaji wa Mafunzo hayo wakiongea na Wanafunzi wa Sekondari ya Shangani Iliyopo mkoani Mtwara.
Afisa taalum wa Mkoa wa Mtwara Salum Masalanga akiongea na Wanafunzi wa Sekondari ya Shangani katika Mafunzo kupitia Sanaa ya Maigizo.
***********
Mkoa wa Mtwara Umeanza Kufanya Uhamasishaji wa Kuondoa Mimba za Utotoni na Wanafunzi wanaoacha Shule kutokana Na Sababu Mbalimbali zinazowakumba Wanafunzi wa Kike kwa Njia ya Sanaa ya Maigizo.

Kupitia kituo cha Sports Development Aid (SDA) tayari kimefanya Mafunzo ya Sanaa ya Maigizo kwa Kuwatumia Waigizaji wenye Mafanikio kwa lengo La kutoa elim kwa Wanafunzi wa Jinsia Zote katika Shule ya Sekondari ya Shangani.

Kituo cha SDA tayari kimeanza Kutoa Mafunzo ya Elim ya Jinsia kwa shule za Mtwara mjini na Vijijini kwa Kutumia Njia ya Michezo ambapo imekuwa ikigawa Vifaa vya Michezo pamoja na Kukarabati Viwanja Michezo vya Shule.
Posted by MROKI On Saturday, January 20, 2018 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo