Nafasi Ya Matangazo

November 15, 2016

Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Kulia aliyeinama) akisaini Kitabu cha Wageni wakati alipowasili kuhudhuria Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB). Wanaomtazama ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Katikati) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga (Kushoto).
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Rosebuld V. Kurwijila (Kulia) akifafaua hoja mbalimbali wakati wa Mkutano huo. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Katibu wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bibi Neema C. John (Kushoto) akisoma agenda za Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Bw. Francis J. Assenga.
Mmoja wa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TADB, Bw. Migangala S. Milenge (Katikati) akichangia mada wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) uliofanyika katika Ukumbi wa Benki hiyo. Wengine pichani ni wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki hiyo.
 Baadhi ya wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa TADB wakifuatilia Mkutano huo.
 Baadhi ya viongozi waandamizi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakifuatilia Mkutano huo.
Washiriki wa Mkutano wa Mwaka wa Wenye Hisa wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wakiwa katika picha ya pamoja na Msajili wa Hazina, Bw. Lawrence N. Mafuru (Katikati waliokaa) mara baada ya kumalizia Mkutano huo.
Posted by MROKI On Tuesday, November 15, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo