Nafasi Ya Matangazo

October 07, 2016

Wafanyakazi wa Tbl Group ,Kutoka kushoto , Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla na Afisa Uhusiano na Mawasiliano Amanda walter (katikati) wakimuangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la polisi kitengo cha Usalama barabarani ,Muhidini Mohamed  wakati alipokuwa akiwaandika stika za magari yao ofisini kwao Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama.
Meneja majengo wa TBL  Daud Luwilla (kulia) na afisa Uhusiano na Mawasiliano wa TBL Group  Amanda walter , wakimwangalia kwa makini Mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi  Polisi kitengo cha usalama barabarani nchini, Muhidini Mohamed wakati alipokuwa akikagua magari ya wafanyakazi kampuni hiyo Masaki jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani.
 Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (kulia) akikaguliwa gari lake na  mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani , Muhidini Mohamed  (katikati )wakati wa zoezi la kukagua  magari ya wafanyakazi wa TBL iliyofanyika Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama  .Kushoto ni  Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
 Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (kulia) akikaguliwa gari lake na  mkaguzi wa magari toka makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani , Muhidini Mohamed  (katikati )wakati wa zoezi la kukagua  magari ya wafanyakazi wa TBL iliyofanyika Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama  .Kushoto ni  Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Mkaguzi wa magari kutoka  makao makuu ya jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani , Muhidini Mohamed  (kulia) akimwandikia stika ya gari   Meneja Masoko wa TBL Group, Fimbo Butalla (wa pili kushoto)  wakati wa zoezi la kukagua magari ya  wafanyakazi wa kampuni hiyo   Masaki jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama  .Kushoto ni Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Meneja Masoko wa TBL Group Fimbo Butalla (katikati ) akikabidhiwa stika ya gari lake na  mkaguzi wa magari toka makao makuu ya Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama barabarani ,traffic  nchini, Muhidini Mohamed  (kushoto ) mara baada ya  kumaliza  zoezi la kukagua  magari ya wafanyakazi wa TBL Group katika ofisi zake za  Masaki jijini Dar es Salaam ,ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani  .Kulia ni  Meneja majengo wa kampuni hiyo Daud Luwilla .
Posted by MROKI On Friday, October 07, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo