Nafasi Ya Matangazo

August 24, 2016

 Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Col Marco Gaguti akikabidhi msaada kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu na wazee wasio jiweza.

Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Col Marco Gaguti amezindua Vikundi vya Ujasiria Mali vya Tukundane A na B. Vikundi hivyo vinajushughulisha na Ufumaji, Ushonaji, Muziki na Kuweka na Kukopa.

Col Gaguti, aliwapongeza Wanachama kwa jitihada za Kupambana na Umasikini na Kuunga Mkono kwa vitendo jitihada za Serikali za kuwaletea Wananchi Maendeleo kwa Kufanya Kazi. Aidha, aliwasa kuwa na nidhamu, kuzingatia Malengo waliojiwekea na Kufanya mambo ya Chama kwa Uwazi ili kuepusha Migogoro. 

Katika Kuunga Mkono jitihada za kikundi Col Gaguti alitoa mchango wa Tsh 200,000/- Pamoja na kushiriki zoezi la utoaji zawadi kwa Wazee, Watoto wanaoishi katika mazingira Magumu na Walemavu.
Posted by MROKI On Wednesday, August 24, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo