Nafasi Ya Matangazo

July 05, 2016

Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)   akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi  bora wa kampuni hiyo , Katikati ni  ofisa rasilimali watu  Anna Magari  .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)   akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi  bora wa kampuni hiyo , Kat0pikati ni  ofisa rasilimali watu  Anna Magari  .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)   akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi  bora wa kampuni hiyo , Katikati ni  ofisa rasilimali watu  Anna Magari  .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Meneja idara ya  uhandisi  wa Kiwanda cha Konyagi  cha  jijini Dar es Salaam, Aranyaeli Ayo (kushoto)   akikabidhi zawadi kwa wafanyakazi  bora wa kampuni hiyo , Katikati ni  ofisa rasilimali watu  Anna Magari  .Hafla hiyo ilifanyika kiwandani hapo jana.
Wafanyakazi bora wa kampuni ya Konyagi katika picha ya pamoja na Maofisa wa kampuni hiyo  muda mfupi baada ya kutunukiwa zawadi.
****************
Kampuni ya kutengeneza vinywaji ya TDL kilichopo chini ya TBL Group imewapongeza wafanyakazi wake bora katika msimu huu ambapo imewatunukia zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika katika kiwanda cha Konyagi kilichopo jijini Dares Salaam

Akiongea wakati wa hafla hiyo Mkuu wa Idara ya Uhandisi wa kampuni hiyo aliwapongeza kwa kufanya kazi kwa bidii na kuongeza kuwa kampuni inathamini mchango wa kila mfanyakazi wake na ndio maana imekuwa na utaratibu wa kuwapatia tuzo mbalimbali.

Wafanyakazi hao walishukuru mwajiri wao kwa kuthamini na kutambua mchango wanaoutoa kwa kampuni.
Posted by MROKI On Tuesday, July 05, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo