Nafasi Ya Matangazo

May 17, 2016

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan(kulia) akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Kituo cha kisasa cha Superdoll mkoani Arusha kitakacho uza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni imala na salama kwa watumiaji (katikati) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Superdoll,Seif Ali Seif na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Daud Ntibenda, kituo hicho kitaongeza ajira kwa vijana mkoani humo. 
Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan(kushoto) akiwa na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Superdoll,Seif A,Seif, akikagua moja ya matairi ya BF Goodrich KO2, wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kisasa cha  superdoll mkoani arusha(Service Cntre)kitakacho uza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni imala na salama kwa watumiaji.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(kulia) akionyeshwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Superdoll,Seif Ali Seif, moja ya mashine ya kisasa ianayotumika kwa ajiliya kutengeneza magari, wakati hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Superdoll mkoani Arusha kitakacho uza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni mala na salama kwa watumiaji.
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan(kulia) akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Superdoll,Seif Ali Seif, wakati alipokuwa akiangalia moja ya mshine ya kutengenezea magari katika kituo cha Superdoll, wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho mkoani Arusha, kinachotoa huduma ya kuuza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni mala na salama kwa watumiaji. BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(kulia) akipewa maelezo  na Mkurugenzi  mtendaji wa kampuni ya Superdoll,Seif Ali Seif,juu ya huduma ya Superdoll, wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho mkoani Arusha, kinachotoa huduma ya kuuza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni mala na salama kwa watumiaji.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Superdoll Seif Ali Seif akimfafanulia jambo Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan,  wakati wa uzinduzi wa Kituo cha kisasa cha Super Doll mkoani Arusha, kitakachotoa huduma ya kuuza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni mala na salama kwa watumiaji.
Baadhi ya wafanyakazi wa Superdol tawi la Arusha ,wakisalimiana na Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan,wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho mkoani Arusha, kinachotoa huduma ya kuuza  matairi ya BF Goodrich KO2,ambayo ni mala na salama kwa watumiaji.
Baadhi ya wafanyakazi wa Superdoll na wateja wa kampuni hiyo wakisalimiana ,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha superdoll mkoani Arusha.
 Baadhia ya wageni waalikwa waliohudhuria kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo cha kisasa cha Superdoll mkoani Arusha wakifuatilia uzinduzi huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(watano kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Superdoll mkoa wa Arusha , wakati wa uzinduzi wa Kituo hicho mkoani humo. 
Posted by MROKI On Tuesday, May 17, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo