Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2016

Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko  akila kiapo cha kushiriki katika Bunge la Jumuia hiyo (EALA) mjini Arusha leo. 
 Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko akisaini hati ya kiapo.
 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Kidega akimpongeza Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko  baada ya kula kiapo. 
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko akiongozwa na kuingia ndani ya Bunge na  Katibu wa Bunge hilo Kenneth Madete na nyuma yake ni Wabunge Hafsa Mossi na Isabelle Ndahayo wakimsindikiza.
Mbunge wa EALA kutoka Tanzania, Abdullah Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano huo wa Bunge.
Mbunge wa EALA kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji  akizungumza wakati wa mkutano huo wa Bunge.
Posted by MROKI On Wednesday, May 25, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo