Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2016

Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Meneja Rasilimali watu wa zamani wa Uhuru Publications Ltd, Lucas Kisasa, baada ya kumkuta nje wakati akienda ofisi za kampuni hiyo leo kujitambulisha kwa viongozi wa Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, leo. Kulia ni mpigapicha wa Magazeti ya Uhuru, Emmanuel Ndege na Wapili ni dereva wa UPL Chamlungu
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Peoples Media, Angel Akilimali, alipowasili kujitambulisha kwa viongozi wa  Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, leo.
  Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, akisalimiana na Kaimu Meneja Rasilimali watu na Utawala, Paul Mg'ong'o, alipowasili kujitambulisha kwa viongozi wa Kampuni hiyo ambayo ni wachapishaji wa magazeti ya Uhuru, Mzalendo na Burudani na viongozi wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM,
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (wapili kushoto) akifuatana na viongozi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Paul Mg'ong'o (kulia) na  na Angel Akilimali wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, Kushoto ni Ofisa kutoka Makao Makuu ya CCM, Amos Siyantemi. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI. 

  Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM (wapili kushoto) akifuatana na viongozi wa Kampuni ya Uhuru Publications Ltd, Paul Mg'ong'o (kulia) na  na Angel Akilimali wa Peoples Media Ltd ya Uhuru FM, Kushoto ni Ofisa kutoka Makao Makuu ya CCM, Amos Siyantemi
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  akisalimiana na Kaimu Mhasibu Mkuu wa UPL Mama Masota
 Baadhi ya viongozi wa UPL na Peoples Media wakimsubiri Dk. Pindi Chana
  Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisoma nakala ya gazeti la Uhuru la leo, kabla ya mazungumzo na viongozi hao
  Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akimsalimia Mhariri wa Habari wa Uhuru FM Pius Ntiga. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma
  Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akisaini kitabu cha wageni kabla ya kuanza mazungumzo yake na viongozi hao. Kulia ni kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma na Kushoto ni Kaimu Mkueugenzi wa Peoples Media Angel Akilimali
 Ofisa wa Chama kutoka Makao Makuu ya CCM, Amos Siyantemi akitoa maneno ya utangulizi kabla ya Dk. Pindi Chana kuzungumza na viongozi hao
 Kaimu Mkurugenzi wa Peoples Media Angel Akilimali akijitambulisha 
 Kaimu Meneja Rasilimali watu na Utumishi Paul Mg'ong'o akijitambulisha
  Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizungumza na viongozi hao.
Kaimu Katibu wa NEC, anayeshughulikia Siasa na Uhusiano wa Kimataifa CCM, Dk. Pindi Chana ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM akizungumza na viongozi hao.PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Posted by MROKI On Wednesday, May 25, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo