Nafasi Ya Matangazo

May 05, 2016

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akizungumza na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa  Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na Naibu Mkurugenzi Kanda ya Afrika wa  Gates Foundation ya Marekani, Haddis Tadesse, baada ya mazungumzo yao, ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo, May 5, 2016.
Posted by MROKI On Thursday, May 05, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo