Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2016

Bodaboda iliyoligonga basi la mwendo kasi namba 54 lenye namba za usajili T122DGH lililokuwa katika majaribio likitokea Kimara kuelekea Kivukoni na kupata ajali baada ya kutoka katika kituo cha Bhakresa-Manzese leo.Hivi karibuni Naibu Waziri TAMISEMI, Selemani Jaffo aliutangazia umma kuacha kutumia barabara za mabasi yaendayo kasi. ili kuepusha ajali katika njia hizo.
Wakazi wa Manzese Dar es Salaam wakiangalia basi la mwendo kasi lililogongwa na bodaboda katika barabara ya Mabasi yaendayo kasi jirani na kituo cha Bhakresa leo asubuhi. Ajali hiyo ilisababisha foleni ya mabasi ya mwendo kasi zaidi ya 10. 
Posted by MROKI On Monday, April 18, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo