Nafasi Ya Matangazo

April 27, 2016

Hali ya kituo kikuu cha Mabasi yaendayo mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara si nzuri jambo ambalo limekuwa kero kwa abiria pamoja na watoa huduma hiyo ya usafiri. Kituo hicho kilichopo Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam kimesheheni madibwi ya maji hivyo wadau mbalimbali wameiomba Halmashauri ya Manispaa ya Temeke kutupia jicho kituo hicho na kukifanyia ukarabati wa kumwaga kifusi kuondoa kero hiyo. 

Father Kidevu Blog ilipita kituoni hapo leo na kujionea hali hiyo.
Posted by MROKI On Wednesday, April 27, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo