Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania TBL wakipata madafu wakati wa usiku wa mwambao ambao umetayarishwa kwa ajili ya kuwapatia burudani baada ya saa za kazi uliofanyika jijini Dar es Salaam katika kiwanda cha bia cha Ilala jana.

Mmoja wa wafanyakazi wa TBL akimpongeza mwimbaji nguli wa muziki wa taarabu kutoka kundi la Jahazi, Leila Rashid wakati wa tamasha la usiku wa Mwambao uliowashirikisha wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mwimbaji wa muziki wa taarabu kundi la Jahazi Modern Taarabu , Leila Rashid akiwapagawisha wafanyakazi wa Kampuni ya TBL wakati wa tamasha la Usiku wa Mwambao
Leila Rashid akifanya vitu vyake
Wakiwa katika picha na mwimbaji Laila Rashid
vuiongozi wa TBL wakizungumza na Leila Rashid juu ya maisha yake ya kimuziki.
0 comments:
Post a Comment