Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Rais wa Rwanda Paul Kagame kabla ya kuanza rasmi kwa Mkutano wa 17 wa
kawaida wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliyofanyika Ngurdoto
nje kidogo ya jiji la Arusha.

na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa kawaida wa
wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika Ngurdoto nje kidogo ya
jiji la Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na Rais wa Kenya Uhuru Kenyata kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa kawaida wa
wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki Ngurdoto nje kidogo ya jiji la
Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Rais wa Uganda Yoweri Museveni kabla
ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa kawaida wa wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika
Mashariki uliofanyika Ngurdoto nje kidogo ya jiji la Arusha.
0 comments:
Post a Comment